SIFA ZENYE KULINGANA BAINA YA IMAMU MITUME NA QURAN

SIFA ZENYE KULINGANA BAINA YA IMAMU MITUME NA QURAN

Makala zinazohusiana

(USHIRIKIANO WA SIFA BAINA YA QURAN NA IMAM MAHDI (A.S

Quran ni nuru ya milele isiozimika, na watu watakua ni wenye kuongozwa na Quran hadi kumalizika kwa duni, na Mtume (s.a.w) pamoja na Mawasii wake nao wana sifa hiyo hiyo, kwani nao vile vile ni nuru yenye kumurika, kama ilivyoelezea Quran ikisema (kwa hakika tumekutuma ukiwa ni shahhidi na ni …..na ni nuru yenye( kumurika

:Maelezo

Quran na Imamu ni nyuso mbili zinaashiria kitu kimoja yaani lengo la Quran na Imamu ni moja, na hakuna uwezekano wa kuvitenganisha vitu viwili hivi, kwa hiyo basi Quran bila ya imamu haiwezi kufanya kazi, na Imamu bila ya Qurani hawezi kua Imamu. Yaani Qurani ni maandiko yanayodhihirika kwa kupitia Imamu, kwa lugha nyengine ni kua Qurani hudhihirika umbile lake kwa kupitia matendo ya Imamu, Quran ni Imamu alie kimya na Imamu ni Qurani yenye kuzungumza, kwa kutokana na sifa hizi zenye kulingana baina ya Quran na Imamu, ndio maana tukasema kua vitu viwili hivi haviwezi kutengana daima.

maoni

Acha Maoni

*Mashamba alama ya asteriski ni hakika kuwa thamani.