مهدويت | Mahdawiyat
MBAA MWEZI YA MWEZI WA DHAHABU
NAFASI YA FATIMA (A.S)
FATIMA (A.S) NDIYE KIGEZO
SIRI ZA MAFANIKIO I
UMRI WA MWANAADAMU
JE TUNAJIFUNZA KUTOKA KWA WAKATOLIKI
ITIKADI YA HAKI (JUSTICISM)
VIZUIZI VYA UMOJA
KUJIFANANISHA NA MAKAFIRI

UIMAMU NDANI YA RIWAYA ZA AHLUL BAIT
2017-05-14
Makala zinazohusiana
-
KHUTBA YA FATIMA ZAHRAA (A.S)
2019-02-09 -
NAFASI YA FATIMA (A.S)
2019-02-08
-
FATIMA (A.S) NDIYE KIGEZO
2019-02-08 -
KUSUJUDU JUU YA UDONGO
2018-11-24
UTAMBUZI JUU YA SUALA LA UIMAMU NDANI YA RIWAYA
MEZANI HALISI YA KULIELEWA SUALA LA UIMAMU
Hakuna shaka kua kuna hadithi nyingi zilizoelezea sifa za Maimamu (a.s) sifa ambazo zimesababisha kuwatia wasiwasi baadhi ya watu, kwani sifa hizo zimegusia baadhi ya sifa ambazo ni sifa za Mweny enzi Mungu na kuzinasibisha sifa hizo kwa Maimamu (a.s).
Kiasi ya kwamba kumetokea baadhi ya watu waliowapandisha cheo Maimamu (a.s) na kuwapa cheo cha Uungu, limetokea hili baada ya pale watu hawa walipoziona zile Hadithi zinazozungumzia sifa kubwa kubwa za Maimamu (a.s), na watu hawa hawahesabiwi kua ni Waislamu ndani ya dini yetu ya Kiislamu na wastahiki kulaaniwa kwani hao ni washirikina waliomshirikisha Mola wao, na kuna wengine walidai kua Mwenye enzi Mungu amewapa Maumamu kazi za Uungu!, nao hao pia wako katika upotofu vilevile na Maimamu (a.s) wako mbali na watu kama hawa, na kuna wele wengine waliobirukia upande wa pili nao ni wale wenye kudai kkua Maimamu (a.s) ni sawa na watu wengine hawana tofauti yeyote na wayu wengine,
nao hawa si waumini wa kweli, ama kuna lile kurupu la watu walio katika njia ilionyooka nao ni wale wenye kuamini kua Maimamu (a.s) ni watu maalumu alioteuliwa na Mola wao ili kuuongoza umma huu nao wenye sifa kamili za kuuongoza umma huu na uadilifu wa Mwenye enzi Mungu hudhihirika kwa kupitia kwao na sifa tofauti za Mwenye enzi Mungu hudhihirika kwa kupitia kwa Maimamu (a.s). na pia Maimamu (a.s) ni watu kama watu wenge isipokua wao ni wateuliwa wa Mwenye enzi Mungu nao si Miungu.
Acha Maoni
-
KHUTBA YA FATIMA ZAHRAA (A.S)
2019-02-09 -
MBAA MWEZI YA MWEZI WA DHAHABU
2019-02-09 -
NAFASI YA FATIMA (A.S)
2019-02-08 -
FATIMA (A.S) NDIYE KIGEZO
2019-02-08 -
SIRI ZA MAFANIKIO I
2019-01-21 -
UMRI WA MWANAADAMU
2019-01-21 -
JE TUNAJIFUNZA KUTOKA KWA WAKATOLIKI
2019-01-21 -
ITIKADI YA HAKI (JUSTICISM)
2019-01-21 -
VIZUIZI VYA UMOJA
2019-01-21 -
KUJIFANANISHA NA MAKAFIRI
2019-01-20
-
MAELEZO KWA UFUPI KUHUSIANA NA IMAM MAHDI
2017-05-14 -
MAHDI (A.S) (3)
2017-05-14 -
SEHEMU YA PILI MAHDI NI NANI ?
2017-05-14 -
SEHEMU YA PILI
2017-05-14 -
-
MAHDI MTARAJIWA KATI YA TASWAWWUR NA TASDIQ
2017-05-14 -
UIMAMU NDANI YA RIWAYA ZA AHLUL BAIT
2017-05-14 -
-
-
-
-
Ahlul Bait Foundation of South Africa
2017-05-14 -
UIMAMU NDANI YA RIWAYA ZA AHLUL BAIT
2017-05-14 -
-
MAELEZO KWA UFUPI KUHUSIANA NA IMAM MAHDI
2017-05-14 -
-
DALILI ZILIZOPELEKEA UBABAISHAJI
2017-05-14 -
SEHEMU YA PILI MAHDI NI NANI ?
2017-05-14 -
MAHDI (A.S) (3)
2017-05-14 -
MAHDI MTARAJIWA KATI YA TASWAWWUR NA TASDIQ
2017-05-14
maoni