UMUHIMU WA KUZUNGUMZIA SUALA LA IMAMU MAHDI (A.F)

UMUHIMU WA KUZUNGUMZIA SUALA LA IMAMU MAHDI (A.F)


                      UMUHIMU WA KUZUNGUMZIA SUALA LA IMAMU MAHDI (A.F)


Inawezekana kukatokea baadhi ya watu watakaosema hivi, “kuna haja gani ya kulizungumzia suala la Imam Mahdi (a.f), hali ya kua tuna mahitajio tofauti ambayo ni ya kimsingi katika nyanja tofauti za kiutamaduni na kielimu, hivi bado hayajatosha maandiko yaliondikwa kuhusiana na Imam Mahdi (a.f)”?
Jawabu ni kwamba, utafiti juu ya masuala ya Imam Mahdi (a.f), ni moja kati ya mambo muhimu yenye kuleta athari maalum kwenye maisha ya mwanaadamu
Na ni ufunguo usio na kizuwizi katika pande tofauti za maisha ya mwanaadamu.
Basi ingawaje kumepitishwa juhudi kubwa katika utafiti wa masuala ya Imam Mahdi (a.f), lakini bado kuna vipengele chungu nzima ambavyo havijaguswa  kabisa, na kuna haja ya wanachuoni pamoja na watafiti kufanya jitihada za hali ya juu juu ya suala hili.

maoni

Acha Maoni

*Mashamba alama ya asteriski ni hakika kuwa thamani.