NIDHAMU YA UONGOZI

NIDHAMU YA UONGOZI

NIDHAMU YA UONGOZI KATIKA KUMSUBIRI IMAM MAHDI (A.S)

Hakuna shaka kua tokeo hili iko siku litatokea na matumaini ya kua iko siku Ulimwengu utakua chini ya mikono ya kiongozi wa kidini, jambo hili basi linatakiwa kua ni changa moto ya kuweza kuwafanya viongozi wawe na mtizamo wa kuuwelekeza ulimwengu katika nidhamu ilio bora.NIDHAMU YA UONGOZI KATIKA KUMSUBIRI IMAM MAHDI (A.S)

Hakuna shaka kua tokeo hili iko siku litatokea na matumaini ya kua iko siku Ulimwengu utakua chini ya mikono ya kiongozi wa kidini, jambo hili basi linatakiwa kuni ni changa moto ya kuweza kuwafanya viongozi wawe na mtizamo wa kuuwelekeza ulimwengu katika nidhamu ilio bora kwani kufanya hivyo kutamsaidia kumpa urahisi yule kiongozi wa kiisalmu atakaekuja baadae kwa hiyo basi Waislamu wanatakiwa kua na uangalifu katika kutekeleza nyadhifa zao ili waweze kulisukuma
kurudumu la matumaini mbele zaidi, na hili ndio lengo la watu wenye akili katika kila jamii. Kila mtu mtu ana malengo katika akili yake, na mwenye akili zaidi ni yule mwenye kuyatekeleza malengo yake kimatendo na jee hivi kuna malengo bora raidi katika jamii yetu ya kiislamu kuliko kuleta uadilifu na mipango mema katika jamii?

Bila shaka uongozi utakua kwenye mikono ya Waumini hivi karibuni kwani hhiyo ni ahadi alioitoa Mola wete pale aliposema (Mwenye enzi Mungu amewaahidi walioamini miongoni mwenu na wale wenye kutenda mema kua atawafanya wao kua ndio Makhalifa katika ardhi kama alivyowafanya wale Waumini waliopita kabla yao na atawasimamishia Dini yao ambayo Mola wao ameiridhia na atawaondolea khofu
na kuwaletea amini wawe wananiabudu mimi na wala hawanishirikishi na kitu chochote kile, basi watakaokufuru baada ya hapo, hao basi ndio mafasiki (wapotovu)).

maoni

Acha Maoni

*Mashamba alama ya asteriski ni hakika kuwa thamani.