Kutabiriwa kwake na Mtukufu Mtume s.a.w

Kutabiriwa kwake na Mtukufu Mtume s.a.w

Kutabiriwa kwake na Mtukufu Mtume s.a.w

Kutabiriwa kwake na Mtukufu Mtume s.a.w

Karibu katika vitabu vyote mashuhuri vya Hadithi za Mtukufu Mtume (s.a.w.) mna bishara zimhusuzo Imamu Mahdi na waandishi kadhaa; walikusanya hadithi zenye bishara hizo. Bwana Hafidh Muhammad-bin-Yusuf Shaffi katika kitabu chake kiitwacho "Al-Bayan-fi-Akhbar-i-Sahibiz-zaman". Bwana Hafidh Abu Na'im Isfahani amezikusanya hadithi hizi katika kitabu chake kiitwacho "dhikr Ni't Al-Mahdi", Bwana Abu Dawud Sajistani katika kitabu chake kiitwacho "Sunan" chini ya kichwa cha habari maalum cha "Al-Mahdi", Bwana Tirmidh katika kitabu chake kiitwacho "Sahih Tirmidhiy", Bwana Ibn Majah katika kitabu chake kiitwacho "Sunan Ibnu Maaja" na Bwana Hakim katika kitabu chake kiitwacho "Mustadrak" wameziandika hadithi kadha wa kadha kuhusu jambo hili, mojawapo ikiwa imesimuliwa na Bwana Ibn-i-Abbas, inasema kwamba, Mtukufu Mtume (s.a.w) alisema, "Mimi ni kiongozi wa Mitume na Ali ni kiongozi wa Mawalii. Wa kwanza katika Mawalii wangu kumi na mbili atakuwa Ali na wa mwisho ni Al-Mahdi a.s

KUTABIRIWA KWAKE

(1) Kutabiriwa kwake na Mtukufu Mtume (s.a.w.):

Karibu katika vitabu vyote mashuhuri vya Hadithi za Mtukufu Mtume (s.a.w.) mna bishara zimhusuzo Imamu Mahdi na waandishi kadhaa; walikusanya hadithi zenye bishara hizo. Bwana Hafidh Muhammad-bin-Yusuf Shaffi katika kitabu chake kiitwacho "Al-Bayan-fi-Akhbar-i-Sahibiz-zaman". Bwana Hafidh Abu Na'im Isfahani amezikusanya hadithi hizi katika kitabu chake kiitwacho "dhikr Ni't Al-Mahdi", Bwana Abu Dawud Sajistani katika kitabu chake kiitwacho "Sunan" chini ya kichwa cha habari maalum cha "Al-Mahdi", Bwana Tirmidh katika kitabu chake kiitwacho "Sahih Tirmidhiy", Bwana Ibn Majah katika kitabu chake kiitwacho "Sunan Ibnu Maaja" na Bwana Hakim katika kitabu chake kiitwacho "Mustadrak" wameziandika hadithi kadha wa kadha kuhusu jambo hili, mojawapo ikiwa imesimuliwa na Bwana Ibn-i-Abbas, inasema kwamba, Mtukufu Mtume (s.a.w) alisema, "Mimi ni kiongozi wa Mitume na Ali ni kiongozi wa Mawalii. Wa kwanza katika Mawalii wangu kumi na mbili atakuwa Ali na wa mwisho ni Al-Mahdi (a.s.)".

(2) Kutabiriwa kwake na Bibi Fatimah (a.s.) bint wa Mtukufu Mtume (s.a.w.):
Kufuatana na hadithi katika kitabu kiitwacho "Usulil Kafi" cha Bwana Kulaini kimenukuu kua Jabir-bin-Abdullah Ansar alisema kwamba, Bibi Fatimah (a.s.) alikuwa na ubao ulioandikwa majina yote ya Mawalii na Maimamu na aliwataja Maimamu wote kumi na wawili kwa majina yao, watatu walikuwa wanaitwa Muhammad na wanne wanaitwa Ali na wa mwisho atakuwa wa kudumu.

3. Kutabiriwa kwake na Ali (a.s.):

Sheikh Saduq Muhammad-bin-Ali ameandika katika kitabu chake kiitwacho

maoni

Acha Maoni

*Mashamba alama ya asteriski ni hakika kuwa thamani.