Kuhami wazi wazi Mfalme wa Qatar kundi la Kiwahabi

Kuhami wazi wazi Mfalme wa Qatar kundi la Kiwahabi

Mfalme wa Qatar alidai kuwa Ulimwengu wa kiislamu unahitaji Fikra na mwenendo wa kiwahabi.

Ripoti ya Shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA-Sheikh Muhammd Ibn Khalifa Althani Mfalme wa Qatar katika maneno ya kuhami Mawahabi alisema:Ulimwengu wa Sasa wa Kiislamu unahitaji Fikra za Kiwahabi na kuhami hao ndio kuhami Dini ya kiislamu na kuto wahami ni sawa na kuacha Dini tukufu ya Kiislamu.

 

 

 

 

Alipo shiriki Katika sherehe ya ufunguzi wa Msikiti wa Watu 3000(Muhammad Ibn Wahab) alisema:Ufunguzi wa Msikiti huu na Kuitwa Muhammad Ibn Wahab ni ishara ya kuonyesha ni kiasi gani Mwanazuoni huyu(Muhammad Ibn Wahab) aliathiri kiasi gani katika Jamii na kuwa yeye ni Mzinduzi wa Dini ya Kiislamu baada ya Mtume(s.a.w.),pia tunashudia Maulamaa waliokuwa wengi bado wanaedeleza Fikra zake.

 

Akimalizia kusema: natumai sehemu hii Iwe sehemu ya Da`awa ya Mwentezi Mungu na kuendeleza Fikra za Muhammad Ibn Wahab.

maoni

Acha Maoni

*Mashamba alama ya asteriski ni hakika kuwa thamani.