Inaruhusiwa Kula Nyama ya Jinni

Inaruhusiwa Kula Nyama ya Jinni

Mmoja kati ya Mamufti wa Misri Aliruhusu kula Nyama ya Jinni

 

 

 

Ripoti ya ABNA-Sheikh huyo alisema kuwa katika Majini kuna wanyama kama Ngamia na mfano wa Ngamia,na kuzingatia kuwa Nyama ya Ngamia ni Halali basi kula Nyama ya Jinni pia ni Halali.

 

Mufti huyo wa Misri kaashiria kuwa kusali sehemu ambayo yupo Ngamia ni Dalili tosha kuwa Jinni na Mashetani wapo sehemu hiyo, kusali hairuhusiwi na kusali sehemu hiyo ni kama kula Nyama ya Jinni.

 

Aliendelea kusema: kwa upande mwengine kula Nyama ya Jinni hainamadhara kwa Mwanadamu kwa Mantiki hii ni Halali.

 

Baada ya hii Fatwa ilitangulia Fatwa ya Muhammad Az-zaghbiy Mufti wa Misri kunako kula Nyama ya Nguruwe ambayo ilileta vurugi katika Site ya Yutube pia katika Vyombo vya Habari vya Msri.

 

Ewe Muislamu jaribu kufikiria nini Maadui wa Kiislamu wanaleta Fitina katika ulimwengu wa kiislamu na kutumia maulamaa kuwa ndio Vyambo.

maoni

Acha Maoni

*Mashamba alama ya asteriski ni hakika kuwa thamani.